Mashindano ya Quran

Kila mwaka DAMUSSA imekuwa ikiandaa mashindano ya Quran kwa wanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.

Fahamu Zaidi

Kambi ya Kidini

Kila mwaka DAMUSSA huandaa semina na kambi ya siku saba mfululizo nje ya jiji la Dar Es Salaam ili kuwajenga vijana kiimani zaidi.

Fahamu Zaidi

Semina ya Uongozi

Semina ya uongozi huhusisha vijana wa kiislam toka katika shule mbalimbali ili kuwajengea uwezo wa kiuongozi katika maisha.

Fahamu Zaidi

Mfuko wa Elimu

DAMUSSA ina mfuko wa kuchangia ada za shule kwa wanafunzi wa kiislam walio katika mazingira magumu kifedha kiasi cha kustahili kusaidiwa

Fahamu Zaidi

Semina - Kidato cha Kwanza

DAMUSSA huandaa semina kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanapoingia sekondari kuwaandaa na mazingira ya elimu ya sekondari

Fahamu Zaidi

Career Counseling

DAMUSSA imekuwa ikiandaa semina kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha nne kuwawezesha kuangalia njia sahihi ya kuendea kimasomo ama kazi.

Fahamu Zaidi

Tuition Program

Huu ni mpango wa masomo ya ziada kwa wanafunzi wa unaowawezesha wanafunzi kupata ufahamu zaidi juu ya masomo wanayosoma darasani

Fahamu Zaidi

Study Camp

Hii ni kambi ya kimasomo inayowakusanya wanafunzi wa kiislam sehemu moja na kuwawezesha kujisomea katika mazingira tulivu na ya kidini

Fahamu Zaidi

Huduma za Hostel

Huduma ya hostel huwapa fursa wanafunzi kukua kiimani na kielimu zaidi. Hostel zetu huendeshwa kwa kuzingatia misingi ya dini

Fahamu Zaidi

Shule za Kiislam

Kituo cha Taarifa

Jarida la Kiislam

Biashara za Waislam